top of page
MOPAO MEDIA
Search


JINSI YA KUFANYA LINE YAKO YA SIMU KUWA SALAMA
Kwenye namna ya kulinda usalama wa mawasiliano yako ni vyema ukafahamu jambo hili kubwa na la muhimu. Jambo lenyewe linaitwa ''SIM CARD...
Daniel Dos santos
Aug 9, 20231 min read
7 views
0 comments


Kikongwe alilia mafao yake kanisani.
Ile adha na kero katika kufuatilia madai mafao baada kwa wastaafu na wanaoachishwa kazi imeendelea kukithiri na kuwa jambo sugu kwa...
Daniel Dos santos
Jul 26, 20231 min read
4 views
1 comment


UPINDE WA MVUA SIYO ALAMA YA USHOGA
Kama Kawaida Ya Shetani Kutaka Kuchukua Vilivyo Vya Mungu Na Kudai Ni Vya Kwake Hivi Sasa Watu Wote Wanaogopa Rangi Ya Upinde Ule Ambao...
Daniel Dos santos
Apr 24, 20232 min read
23 views
0 comments


ASKOFU AHUKUMIWA JELA MIAKA 26 NA KUVULIWA URAIA
Askofu wa kanisa Katoriki Rolando Alvarez nchini Nicaragua amehukumiwa jela miaka 26 pamoja na kuvuliwa uraia wa nchi hiyo. Askofu...
Daniel Dos santos
Feb 13, 20231 min read
2 views
0 comments


Wa-croatia wakamatwa kwa tuhuma za kuiba watoto
Raia wa Croatia wamekamatwa tena nchini Zambia kwa tuhuma za ulanguzi (kuiba/kusafirisha watoto). Wiki chache zilizopita raia hao...
Daniel Dos santos
Feb 11, 20231 min read
1 view
0 comments


MATOKEO YA FORM 2
Bonyeza hapa chini kuona matokeo ya kidato cha pili kwa shule zote nchini. https://matokeo.necta.go.tz/ftna2022/results/S1964.htm
Daniel Dos santos
Jan 4, 20231 min read
19 views
0 comments


FEITOTO RASMI AZAM FC
Klabu ya Azam FC imeripotiwa kukamilisha usajili wa kiungo fundi wa Young Africans Feisal Salum maarufu kwa jina la "FEI TOTO" Nyota...
Daniel Dos santos
Dec 24, 20221 min read
12 views
0 comments


NCHI INAYOONGOZA KUWA NA WATU WAFUPI ZAIDI DUNIANI
Ingawa kuna watu wengi warefu na wafupi kila mahali duniani. Kwa mujibu wa data zilizokusanywa na vyanzo vya kitaifa mbalimbali ikiwemo...
Daniel Dos santos
Dec 24, 20221 min read
10 views
0 comments


RAIS WA COMORO AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA JELA
Mahakama nchini Comoro imemuhukumu kifungo cha maisha aliyekua Rais wa nchi hiyo bwana Ahmad Abdallah Sambi. Rais huyo wa zamani...
Daniel Dos santos
Nov 29, 20221 min read
18 views
0 comments


SAKATA LA POMBE WORLD CUP
Rais wa shirikisho la soka duniani (FIFA) Gianni Infantino ametolea uvivu sakata la mashabiki wanozungumza na kulalamika sana juu ya...
Daniel Dos santos
Nov 19, 20221 min read
7 views
0 comments


KUTOKA KAMBI YA WAKIMBIZI HADI KUCHEZA WORLD CUP
Wenzetu wazungu wanasema "Dreams do come true" wakimaanisha Ndoto hutimia. Kama wewe ni mpenzi wa soka jina la Alphonso Davies haliwezi...
Daniel Dos santos
Nov 16, 20221 min read
19 views
0 comments


SIGARA HATARI YAINGIA NCHINI TANZANIA
Wakati serikali na jamii zikishirikiana kwa nguvu zote kuhakikisha upingaji na utokomezwaji wa dawa za kulevya. Aina mpya ya sigara...
Daniel Dos santos
Sep 27, 20221 min read
17 views
0 comments


SERIKALI YACHEZA HEKO KILIO CHA TOZO
Serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania imehakikishia wananchi kuwa ni serikali sikivu ambapo leo hii serikali kwa kupitia waziri wa...
Daniel Dos santos
Sep 20, 20221 min read
6 views
0 comments


Tuisila Kisinda ruksa Yanga
Ni habari njema kwa wanachama na wapenzi wa Young Africans baada ya kamati ya sheria na hadhi za wachezaji ya shirikisho la soka Tanzania...
Daniel Dos santos
Sep 15, 20221 min read
6 views
0 comments


Panya road wavamia na kuua
Kundi la kihalifu maarufu kama panya road limeibuka upya tena baada ya kuvamia, kujeruhi na kuua mmoja hapa Kawe Dar es salaam. Kamanda...
Daniel Dos santos
Sep 15, 20221 min read
6 views
0 comments


Video kali ya Madelda sasa iko hewani
Msanii mweny kipaji cha juu kutoka Temeke Madelda-Covid19 chini ya Label ya Nasta music ameachia video ya nyimbo yake mpya inayokwenda...
Daniel Dos santos
Sep 1, 20221 min read
6 views
0 comments


UTATA MGAO WA MALI ZA MREMA
MKE wa marehemu Augustine Mrema, mwanasisasa mashuhuri nchini aliyefariki dunia 21 Agosti na kuzik ...
Daniel Dos santos
Aug 29, 20221 min read
39 views
0 comments


Je unajua kuwa sheria inaruhusu mama kutomwambia mtoto nani ni baba yake halisi?
Kulingana na shauri la Kuruthum Omary Kahiba and Another vs Mwajuma Omary Kahiba (Misc. Civil Cause 4 of 2018) [2020] TZHC 3597 (29...
Daniel Dos santos
Aug 26, 20221 min read
4 views
0 comments


SHERIA NA ADHABU KUHUSU MATUSI
Kutoa matusi hadharani ni kosa la jinai kwa mujibu wa Sheria za Nchi. Sheria ya Kanuni ya Adhabu, Sura ya 16 ya Sheria za Nchi imeweka...
Daniel Dos santos
Aug 26, 20221 min read
28 views
0 comments
bottom of page