![](https://static.wixstatic.com/media/84f169_326843ebc6f34903b24ded22a860d935~mv2.jpg/v1/fill/w_940,h_788,al_c,q_85,enc_avif,quality_auto/84f169_326843ebc6f34903b24ded22a860d935~mv2.jpg)
Serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania imehakikishia wananchi kuwa ni serikali sikivu ambapo leo hii serikali kwa kupitia waziri wa fedha mheshimia Mwigulu Nchemba imetoa tamko la kufutwa na kupunguzwa kwa baadhi ya kodi za miamala ya simu na benki.
Waziri amesema jaambo hili litaanza kutekelezwa tarehe 1 octoba 2022.
コメント