top of page

JINSI YA KUFANYA LINE YAKO YA SIMU KUWA SALAMA

Daniel Dos santos

Kwenye namna ya kulinda usalama wa mawasiliano yako ni vyema ukafahamu jambo hili kubwa na la muhimu.

Jambo lenyewe linaitwa ''SIM CARD lock''

Hii itakusaidia pale ambapo umepoteza simu yako, mtu mwingine hatoweza kufanya chochote na laini yako.



Kwa watumiaji fanya hivi.

Kwa IOS basi fanya hivi,

Nenda palipo andikwa ''Setting - Mobile service/Mobile Data - SIM card - Turn On'', itakupa chaguo la kuweka pin alafu utaweka hivyo kila utakapo washa simu yako itakuhitaji uingize PIN hizo.


Kwa Android basi fanya hivi,

Nenda palipo andikwa ''Setting - SIM card Lock - Set up SIM card Lock - Turn On'', Utaweka PIN ambazo ni rahisi wewe kukumbuka na kila uwashapo simu yako itakuhitaji uweke hizo PIN

#MOPAOTECHNOLOGIES, Tunakushauri kufanya hivi kwani iwapo namba hiyo imeunganishwa na account yako ya benki inakuwa rahisi kwa Tapeli/Mwizi kuchukua taarifa na hatimae kuhamisha fedha.

7 views0 comments

Recent Posts

See All

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page