Ile adha na kero katika kufuatilia madai mafao baada kwa wastaafu na wanaoachishwa kazi imeendelea kukithiri na kuwa jambo sugu kwa wananchi wengi.
Bibi mmoja kikongwe amefikia hatua ya kuelezea hisia zake juu ya kero kwa kwenda kanisani na kulilia mafao yake.
Kikongwe huyo alikua akifanya kazi katika zahanati ya kanisa kwa zaidi ya miaka 19.
Vyanzo vinaeleza kuwa alistaafu lakini hadi kufikia leo hajapata stahiki zako za mafao yake.
Je wewe ni mmoja kati ya watu waliokumbana na kero hii?
Usisite kutuandikia comment yako ukituambia changamoto ulizokutana nazo.
![](https://static.wixstatic.com/media/84f169_09fb313ab1b74679a3ea1778a531f885~mv2.png/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_90,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/84f169_09fb313ab1b74679a3ea1778a531f885~mv2.png)
Shida sana kwa kweli