Askofu wa kanisa Katoriki Rolando Alvarez nchini Nicaragua amehukumiwa jela miaka 26 pamoja na kuvuliwa uraia wa nchi hiyo.
Askofu Alvarez aliingia katika hukumu hiyo kutokana na kuwa mkosoaji mkubwa wa serikali ya Nicaragua.
Raia wengine takribani 222 ambao ni wapinzani wa Rais Daniel Ortega walilazimika kupandishwa ndege kwenda nchini marekani kama wafungwa.
Comments