Kama Kawaida Ya Shetani Kutaka Kuchukua Vilivyo Vya Mungu Na Kudai Ni Vya Kwake Hivi Sasa Watu Wote Wanaogopa Rangi Ya Upinde Ule Ambao Mungu Aliuweka Kama Ishara Ya Agano Lake Kati Ya Mungu Na Nuhu
KWANINI MASHOGA NA WASAGAJI WANATUMIA RANGI YA UPINDE WA MVUA
Ni Kwa Sababu Mungu Aliangamiza Dunia Kwa Kuwa Ilijaa Ushoga Na Usagaji Kwa Wakati Ule Ndipo Mungu Alileta Gharika Sasa Baada Ya Lile Gharika Mungu Aliweka Agano Na Nuhu Kuwa Hatoleta Tena Gharika Kama Lile La Kuangamiza Dunia Kwa Makosa Kama Yale Ya Wakati Ule Yani Usagaji Na Ushoga Uliokithiri Tena Mungu Alipoweka Hilo Agano Akaweka Na Ishara Ya Ule Upinde Wa Mvua Ambao Rangi Zake Ni Hizi Ambazo Mashoga Na Wasagaji Wanazitumia
👇
Mimi nauweka upinde wangu winguni, nao utakuwa ni ishara ya agano kati yangu na nchi. Hata itakuwa nikitanda mawingu juu ya nchi, upinde utaonekana winguni, nami nitalikumbuka agano langu, lililoko kati yangu na ninyi, na kila kiumbe hai katika wote wenye mwili, wala maji hayatakuwa gharika tena kuwaharibu wote wenye mwili.
MWANZO 9:13-15
👆
Mashoga Na Wasagaji Wanatumia Rangi Za Alama Ile Kwa Kusudi La Kumkumbusha Mungu Kuwa Aliahidi Mwenyewe Kuwa Hatowaangsmiza Tena
Jambo La Pili Wanatumia Rangi Zile Kwa Kuionesha Dunia Kwamba Haipaswi Kuwanyanyasa Sababu Mungu Mwenyewe Muumbaji Alisema Hatowaangamiza
Jambo La Tatu Wanatumia Rangi Za Alama Ile Kumaanisha Kuwa Mungu Anawaunga Mkono Ingawa Si Kweli Kwamba Mungu Anawaunga Mkono
Sasa Point Yangu Ni Hii Rangi Ile Ya Ile Bendera Ya Ushoga Na Usagaji Sio Rangi Waliyoibuni Wao Au Wanazitumia Kwa Bahati Mbaya, No Ni Rangi Ya Ishara Ya Agano Kati Ya Mungu Na Nuhu Tena Hii Ni Baada Ya Mungu Kufurahishwa Na Ile Sadaka Ambayo Nuhu Alitoa Lakini Kwa Sasa Shetani Anawaamisha Watu Kuwa Ni Rangi Ya Ushoga Na Watu Wanaogopa Ile Sio Rangi Ya Ushoga.
Comments