Ingawa kuna watu wengi warefu na wafupi kila mahali duniani.
Kwa mujibu wa data zilizokusanywa na vyanzo vya kitaifa mbalimbali ikiwemo Telegraph mwaka 2017, Indonesia ndiyo nchi inayoshikiria rekodi ya kuwa na watu wafupi kuliko wote duniani.
Inabainishwa kuwa raia wengi wa nchi hiyo ni wale wenye wastani wa futi 5 na inchi 1.8.
Wakati huohuo takwimu pia zainaonyesha watu warefu zaidi duniani wanapatikana katika nchi ya Uholanzi.
Comments