top of page

Video kali ya Madelda sasa iko hewani

Msanii mweny kipaji cha juu kutoka Temeke Madelda-Covid19 chini ya Label ya Nasta music ameachia video ya nyimbo yake mpya inayokwenda kwa jina la #MAPENZI



Audio track ya nyimbo hiyo ilitoka hivi karibuni lakini Nasta music imeamua kuwafurahisha mashabiki wake kwa kuachia video leo september 1.

Kuangalia video hiyo bonyeza link hapa chini na usisahau kutuachia comments zako.

 
 
 

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page