![](https://static.wixstatic.com/media/84f169_fc7411641cd64be597bc0237cb3f23cb~mv2.jpg/v1/fill/w_940,h_788,al_c,q_85,enc_avif,quality_auto/84f169_fc7411641cd64be597bc0237cb3f23cb~mv2.jpg)
Ni habari njema kwa wanachama na wapenzi wa Young Africans baada ya kamati ya sheria na hadhi za wachezaji ya shirikisho la soka Tanzania (TFF) imepitisha usajili wa mchezaji wa yanga Tuisila Kisinda kuichezea timu hiyo baada ya kufanikiwa kumuhamisha mchezaji Lazarous Kambole.
Comments