RAIS WA COMORO AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA JELA
- Daniel Dos santos
- Nov 29, 2022
- 1 min read

Mahakama nchini Comoro imemuhukumu kifungo cha maisha aliyekua Rais wa nchi hiyo bwana Ahmad Abdallah Sambi.
Rais huyo wa zamani alipatikana na hatia ya makosa ya uhaini kwa kuuza hati za kusafiriria (passport) kwa watu wasiokua na uraia wanaoishi kwenye nchi za ghuba yaani Middlle East.
Comments