top of page

SIGARA HATARI YAINGIA NCHINI TANZANIA

Daniel Dos santos

Wakati serikali na jamii zikishirikiana kwa nguvu zote kuhakikisha upingaji na utokomezwaji wa dawa za kulevya. Aina mpya ya sigara maarufu kwa jina la sigara dawa inasadikika kuingizwa kimagendo nchini kutoka nchi za India na Burundi.


Akizungumza na mopao media mkazi mmoja kutoka serengeti mkoani Mara alitoa ushuhuda jinsi alivyonusurika kugongwa na magari baada ya kutumia sigara hiyo kwa kuvuta pafu tatu tu.

Mtaalamu wa kituo cha afya wilayani humo ameshitushwa na taarifa hiyo huku akisema kuwa sigara hiyo ina viashiria vyote vya kuwa dawa ya kulevya hivyo wataifanyia utafiti haraka iwezekanavyo kujua ina nini ndani yake.


.



17 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page