top of page

FEITOTO RASMI AZAM FC


Klabu ya Azam FC imeripotiwa kukamilisha usajili wa kiungo fundi wa Young Africans

Feisal Salum maarufu kwa jina la "FEI TOTO"

Nyota huyo wa Tanzania amevunja mkataba kwa kuilipa Yanga kiasi cha Shilingi milioni mia moja kumi na mbili (112 Mil)

Azam FC imeweka mezani donge nono kwa nyota huyo ambaye anatarajiwa kupokea kiasi cha mshahara mara tatu zaidi ya mshahara aliokua akilipwa Yanga.

 
 
 

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page